Technile Company Limited

Technile Company Limited We deal with Electric Fence,CCTV suveillance,Intruder,Access controll,Motor gate,Sattellite Dish

Pongezi
09/05/2024

Pongezi

Cctv camera full set tsh 1,200,000/=Kifurushi chake kitahusisha1.Cctv camera 4 zenye Rangi 24/7 pia zina kamata Sauti.2....
14/06/2023

Cctv camera full set tsh 1,200,000/=

Kifurushi chake kitahusisha
1.Cctv camera 4 zenye Rangi 24/7 pia zina kamata Sauti.

2.DVR 1 ya channel 4

3.Hard disk 1 ya 1(TB) ya kurekodi matukio

4.Tv ya kuangalizia matukio

5.Router Kwa ajili ya kuunganisha na Simu uweze kuona matukio ukiwa popote Duniani

6.Waya (Coaxial cable)

7.BNC & DC pin

8.Power Adapter

9.Ufundi

Utalipia Huduma baada ya kazi kukamilika ila mikoani utachangia Nauli

Tunapatikana Kigamboni,Kisarawe 11

Tupigie
0752000048

29/08/2022

CENTURION D5 smart;
Ni mashine ya kufunga au kufungua geti Kupitia simu ya mkononi.

👉Inakuwa stand by Battery mbili (kwa ajili ya umeme wa Dharula

👉Reli kwa ajili ya kuifunga (kuichomea) kwenye Geti

👉Remote mbili zenye button 4 kila Remote

👉Nguvu zaidi

👉Kasi zaidi kwenye kufunga na kufungua geti

⭐Gharama zake ni tsh 1,650,000/=

kwa Dar es Salaam.

Tupigie
0715934863
0767934863
0752000048

Tupo Kigamboni MAWENI opposite na Afro Pub

Uzio wa Umeme (Electric Fence)👉Waya wa Stainless steel (Ni waya ambao haushiki KUTU)👉Bomba ni za Aluminium (Hazishiki KU...
16/08/2022

Uzio wa Umeme (Electric Fence)

👉Waya wa Stainless steel (Ni waya ambao haushiki KUTU)

👉Bomba ni za Aluminium (Hazishiki KUTU)

👉Mfumo wa Series ⚡⚡

Usalama ni 💯

Muonekano 💯

Tunapatikana Kigamboni MAWENI opposite na Afro Pub.

Tupigie
0752000048
0715934863
0767934863

Duka la Nafaka la jumla na rejareja tumekamilisha ufungaji wa cctv camera. Cctv camera hizi ni Colour vu (RANGI USIKU NA...
02/12/2021

Duka la Nafaka la jumla na rejareja tumekamilisha ufungaji wa cctv camera.

Cctv camera hizi ni Colour vu (RANGI USIKU NA MCHANA)HAKUNA BLACK & WHITE.

Pia tumeunganisha na simu ya mkononi Popote Duniani mteja anaweza kufuatilia Matukio

Tupigie
0715934863
0752000048
0767934863
TUKUHUDUMIE

Tunapatikana Kigamboni maweni opp na AFRO PUB

Hatua ya pili ya Usukaji  wa waya kwa ajili ya vifaa vya Ulinzi umekamilika.Tumekamilisha Wiring ▶CCTV camera▶Fire Alarm...
29/09/2021

Hatua ya pili ya Usukaji wa waya kwa ajili ya vifaa vya Ulinzi umekamilika.

Tumekamilisha Wiring
▶CCTV camera
▶Fire Alarms
▶Video door Phone
▶Gate MOTORS
▶Satellite Dish
▶Data & Voice
▶Electric fences

Tupigie
0752000048
0715934863
0767934863

Tunapatikana Kigamboni maweni opposite na Afro Pub

22/09/2021

Gate Motor

Hapa unaweza Kufungua au kufunga geti kwa umbali zaidi ya mita 100

Kwa tsh 1,600,000 utapata

▶Motor

▶Remote mbili za button 4

▶Reli

▶Battery ya backup

▶UFUNDI

Tupigie
0752000048
0715934863
0767934863

Tunapatikana Kigamboni maweni opposite na Afro Pub

Leo tupo Dukani kwa Mangi.Wauzaji wa Nafaka jumla na rejareja Maeneo  ya Kibaigwa.Tumefunga cctv camera za Colour vu.Tum...
19/08/2021

Leo tupo Dukani kwa Mangi.Wauzaji wa Nafaka jumla na rejareja Maeneo ya Kibaigwa.Tumefunga cctv camera za Colour vu.

Tumekamilisha ulinzi 100%

Cctv camera zetu hazina black & white nyakati za USIKU ni rangi mwanzo mwisho

Pia tunaunganisha mteja ataweza kuona matukio akiwa Popote Duniani.

Tunapatikana kwa namba hizi
0752000048
0767934863
0715934863

Tunapatikana Kigamboni maweni OPPOSITE na AFRO pub

Uzio wa Umeme (ELECTRIC FENCE) Ulinzi  umekamilika.👉Mfumo wa wiring upo katika SERIES,     Mwizi akikata  waya au kugusa...
17/08/2021

Uzio wa Umeme (ELECTRIC FENCE) Ulinzi umekamilika.

👉Mfumo wa wiring upo katika SERIES, Mwizi akikata waya au kugusa atapigwa short pia utasikia King'ora (siren) kwa taarifa kwa zaida ya dk 4 kwa milio zaidi ya 6 Tofauti.

👉Thamani na muonekano utaongezaka Kwenye Eneo lako.

👉Gharama zetu ni nafuu sana.
Tunaanzia tsh 20,000/= mpaka tsh 30,000/ kwa mita moja.Itahusisha kila kitu kuanzia

▶UFUNDI

▶ Siren

▶Aluminium POLES/Steel poles

▶Strainers

▶Insulators

▶RIVERT

▶Enigezer

▶Earth rod (pure Cooper)

▶Bolt & nuts

▶Warning sign

▶Wire (Stainless Steel,Aluminium au .
Galvanized

👉Tunafanya kazi mikoa yote kwa UAMINIFU MKUBWA

👉Tupigie
0767934863
0715934863
0767934863
TUKUHUDUMIE

👉Tunapatikana Kigamboni maweni OPPOSITE AFRO Pub

Address

2nd Floor, Moyo Plaza, Shauri Moyo Street Ilala, Block 5 Plot X
Dar Es Salaam

Telephone

0715934863

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Technile Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share