ALAF Limited Mabati

ALAF Limited Mabati ALAF Limited ni watengenezaji wa bidhaa bora za suluhisho za ujenzi kwaajili ya matumizi ya watu binafsi, biashara na miradi tofauti.

ALAF limited inasifika kwa kuwa na bidhaa bora zaidi sokoni , na ndiomaana tunasema ukiweka na ALAF, Ukiweka umeweka!

Bati ya   ni bati itakayofanya matukio yako kuwa kumbukumbu kwa mwonekano mzuri na rangi za kuvutia na kudumu kwa muda m...
21/04/2026

Bati ya ni bati itakayofanya matukio yako kuwa kumbukumbu kwa mwonekano mzuri na rangi za kuvutia na kudumu kwa muda mrefu bila kupoteza ubora wake.
Bati ya utanunua popote ulipo Tanzania kwa kutupigia au ujumbe wa Whatsapp kwa namba ya simu. 0782 498 793

Nyumba yako ni fahari yako. Ubora wa paa la   haufichiki unajionyesha. 👌🏾 Ishi kiboss, ezeka na ALAF leo. 🏡Nunua popote ...
01/04/2026

Nyumba yako ni fahari yako. Ubora wa paa la haufichiki unajionyesha. 👌🏾 Ishi kiboss, ezeka na ALAF leo. 🏡
Nunua popote ulipo Tanzania kwa kutupigia simu namba. 0782 498 793 na tutakuhudumia kwa kyhakikisha unapata bidhaa yapo popote kwa mikoa yote.

22/12/2025

Wakati muonekano wa nyumba unakuwa sehemu ya hadhi yako, unataka paa ambalo linadumu na kuakisi ladha yako ya kisasa.
inakuletea ubora uliohakikishwa, uimara unaostahimili misimu yote, na rangi zinazobaki safi kwa miaka mingi.
Kwa kila paa tunaloweka, tunajenga siyo nyumba tu tunajenga maisha yenye uthamani.
Nunua bati za CoverMax popote ulipo Tanzania kwa kupiga au Whatsapp namba 0782 498 793

ALAF Limited ni watengenezaji wa bidhaa bora za suluhisho za ujenzi kwaajili ya matumizi ya watu binafsi, biashara na miradi tofauti. ALAF limited inasifika kwa kuwa na bidhaa bora zaidi sokoni , na ndiomaana tunasema ukiweka na ALAF, Ukiweka umeweka!

Ofa ya Punguzo la thamani! 🎉Tunayo furaha kutangaza Ofa yetu mpya ya Thamani ya bati za zetu!Sasa utapata punguzo la zia...
20/12/2025

Ofa ya Punguzo la thamani! 🎉
Tunayo furaha kutangaza Ofa yetu mpya ya Thamani ya bati za zetu!
Sasa utapata punguzo la ziada kwa MAXCOVER, VERSATILE, ROMANTILE, LIFESTILE pamoja na unaponunua bidhaa zetu na Viambata vyake! utapata punguzo la thamani la 0.5% kwa kila order.
Nunua na agiza popote ulipo Tanzania kwa kupiga au Whatsapp namba 0782 498 793 na zitakufikia popote ulipo Tanzania.

🎉 Bundle Value Offer! 🎉We are excited to announce our new Bundle Value Offer! Now you will get additional discounts on L...
20/12/2025

🎉 Bundle Value Offer! 🎉

We are excited to announce our new Bundle Value Offer! Now you will get additional discounts on Lifestile, Romantile, Versatile and Maxcover when you purchase our products with accessories!

On Lifestile, for every type of accessory you purchase, you'll receive an extra 0.5% discount on Lifestile panels.

And for Romantile, Versatile, and Maxcover, the discounts are even better. When you purchase any two types of accessories, you get an additional 1.5% discount! And if you purchase a Tile Ridge with any other accessory, we're giving you an additional 2.5% discount! 🙌

Hurry, this Bundle Value Offer won't last forever! Visit our Sales offices and our showrooms today to get this discount.

Thamani ya kweli ni kuwa na paa linalodumu, likikulinda kwa muda mrefu.🛡️Ukiwa na warranty ya zaidi ya miaka 7, paa la  ...
19/12/2025

Thamani ya kweli ni kuwa na paa linalodumu, likikulinda kwa muda mrefu.🛡️Ukiwa na warranty ya zaidi ya miaka 7, paa la ni uwekezaji wa kweli kwa nyumba yako.👌
👉Weka msingi wa uimara leo, tembelea showroom ya ALAF karibu yako kupata bati bora.
Agiza popote ulipo, kwa mikoa yote kwa Whatsapp au kupiga namba 0782 498 793 na tutakufikishia.

Thamani ya kweli haizungumziwi, huonekana na paa la   huonyesha kila kipimo cha ubora, nguvu na uzuri kwa uimara unaodum...
19/12/2025

Thamani ya kweli haizungumziwi, huonekana na paa la huonyesha kila kipimo cha ubora, nguvu na uzuri kwa uimara unaodumu na muonekano wa kifahari, Romantile ndio chaguo pekee.

Kila siku ya furaha, Kila hatua ya familia, na kila kumbukumbu yenye thamani vinahitaji msingi imara na paa la kuaminika...
19/12/2025

Kila siku ya furaha, Kila hatua ya familia, na kila kumbukumbu yenye thamani vinahitaji msingi imara na paa la kuaminika.
Paa la linakupa utulivu wa kweli, Uimara wa kudumu, na rangi inayobaki na mvuto miaka yote.
Huu ndo uwekezaji wenye thamani ya kweli, ezeka na ALAF leo.
Nunua mkoa wowote uliopo kwa kupiga au kwa Whatsapp simu namba 0782 498 793 na zitakufikia hapo ulipo.

🏠✨ Tunaendelea na kampeni ya KIFURUSHI CHA THAMANI, unaponunua mabati ya MAXCOVER pamoja na viambatanishi vyake yaani Ko...
23/11/2025

🏠✨ Tunaendelea na kampeni ya KIFURUSHI CHA THAMANI, unaponunua mabati ya MAXCOVER pamoja na viambatanishi vyake yaani Kofia, Valley na Misumari unaokoa hadi TZS 297,819/=. Usikose fursa hii ya kipekee ya kuokoa pesa na kuwekeza kwenye uimara wa nyumba yako.
Fanya manunuzi popote hapo hapo ulipo kwa kuwasiliana nasi kuweka oda yako kupitia kupiga/Whatsapp 0782 498 793

*Vigezo na Masharti kuzingatiwa*

  ni kigae kitaakachokustaajabisha mithili ya Kaldera ya Ngorongoro kwa ubora na uimara wake usio na mfano. Vigae vya   ...
05/11/2025

ni kigae kitaakachokustaajabisha mithili ya Kaldera ya Ngorongoro kwa ubora na uimara wake usio na mfano.

Vigae vya manunuzi popote ulipo Tanzania kwa kutupigia au ujumbe wa Whatsapp kwa namba ya simu. 0782 498 793

  ni bati inayokuacha na furaha isiyo kifani na muonekano nadhifu kwa mwonekano wake wa kupendeza wenye rangi za kuvutia...
05/11/2025

ni bati inayokuacha na furaha isiyo kifani na muonekano nadhifu kwa mwonekano wake wa kupendeza wenye rangi za kuvutia zisizopoteza ubora wake,
Bati za utafanya manunuzi popote ulipo Tanzania kwa kutupigia au ujumbe wa Whatsapp kwa namba ya simu. 0782 498 793

05/11/2025

Bati ya ni bati itakayofanya matukio yako kuwa kumbukumbu kwa mwonekano mzuri na rangi za kuvutia na kudumu kwa muda mrefu bila kupoteza ubora wake.
Bati ya utanunua popote ulipo Tanzania kwa kutupigia au ujumbe wa Whatsapp kwa namba ya simu. 0782 498 793

ALAF Limited ni watengenezaji wa bidhaa bora za suluhisho za ujenzi kwaajili ya matumizi ya watu binafsi, biashara na miradi tofauti. ALAF limited inasifika kwa kuwa na bidhaa bora zaidi sokoni , na ndiomaana tunasema ukiweka na ALAF, Ukiweka umeweka!

Address

ALAF Limited
Dar Es Salaam

Telephone

+255782498793

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ALAF Limited Mabati posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share