31/08/2026
JUMBA LA KIFAHARI LA VYUMBA 10
Unatafuta nyumba kubwa yenye muonekano wa kifahari, nafasi na mazingira ya kuvutia? 😍
Tazama hili jumba la kisasa lenye vyumba 10, limepangwa kwa kuzingatia maisha ya kifahari na burudani ya familia yako
🔥 Lina features k**a:
✅ Vyumba 10 vya kulala vyote self cointaned
✅ Swimming pool 🏊♂️
✅ Bustani kubwa na landscaping
✅ Fountain ya kisasa
✅ Parking kubwa
✅ Basketball court
✅ Guest house
✅ Garages
✅ Outdoor dining & entertainment area
✅ Compound kubwa yenye security wall
✅ Grand entrance yenye gate ya kuvutia
✅️plot size 1.5 acres
💎 Hii si nyumba tu — ni lifestyle.
Una eneo na unataka tujenge nyumba yako ya ndoto kulingana na bajeti, eneo na mahitaji yako?
DM & Call ☎️ Piga simu/WhatsApp: +255 624 003 003