Kelvin John Kihade

Kelvin John Kihade Kigamboni

Fundi umeme (Electrician)
04/10/2022

Fundi umeme (Electrician)

Earthing, ni sehemu ya msingi na muhimu ya mfumo wa umeme.  Licha ya kutokuwa kipengele kinachoonekana, mfumo wa udongo ...
11/04/2022

Earthing, ni sehemu ya msingi na muhimu ya mfumo wa umeme. Licha ya kutokuwa kipengele kinachoonekana, mfumo wa udongo ni muhimu sana kwa usalama wa watu na vifaa, kwani hulinda dhidi ya tofauti za hatari. Ufungaji usio sahihi wa kutuliza unamaanisha hatari kwa watu.

https://www.earthbreeze.com/?rfsn=6428583.f69022
25/02/2022

https://www.earthbreeze.com/?rfsn=6428583.f69022

Our lovely eco conscious laundry detergent sheets turn laundry into an act of loving kindness. Say goodbye to messy, heavy, plastic detergents. Try Earth Breeze Eco Sheets risk free!

08/01/2022

Tech Service Complete Fundi umeme kiwango Cha juu, Tunafanya wiring za nyumba aina zote , uchunguzi wa upotefu wa umeme, kubadiri nyumba yako kwa wiring mpya, kuweka taa za kisasa nje ya fanse mpata ndani taa ambazo hazitumii umeme mwingi, Ukaguzi wa wiring nk
Tunaweza kuwasiliana kwa Link g.co/kgs/TkDiZU

02/01/2022

Mwaka mpya ni mwanzo wa kufanya mambo mzuri juu ya makazi yako, kampuni ofisi na kiwanda unaweza kuboresha maeneo ya kazi na makazi yako kwa kufanya wiring mpya za umeme na kubadiri mifumo mipya iliyo safi na muonekano mzuri, weka taa za kisasa na vifaa vya umeme vya kisasa ili uanze mwaka vizuri

02/01/2022

Address

Dar Es Salaam
022

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kelvin John Kihade posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kelvin John Kihade:

Share

Category