Umeme online Makoti

Umeme online Makoti Umeme online//contractors and electrical servises.

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Shaile Soza, Dotto Eyangwe
14/05/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Shaile Soza, Dotto Eyangwe

23/04/2026

🔧🔧

Hellow march!! Upo tayari?? Ili kua katika mkondo mmoja wa offer zetu text Dm tutajenge namna Yakufanikiwa..
03/03/2026

Hellow march!! Upo tayari?? Ili kua katika mkondo mmoja wa offer zetu text Dm tutajenge namna Yakufanikiwa..

28/02/2026

🫰♥️

 : Tanzania imepiga hatua kubwa katika maandalizi ya kuzalisha umeme kwa nishati ya nyuklia baada ya kukamilisha mpango ...
03/02/2026

: Tanzania imepiga hatua kubwa katika maandalizi ya kuzalisha umeme kwa nishati ya nyuklia baada ya kukamilisha mpango mkakati wa miaka sita na nusu (Road Map) na mahitaji mengine muhimu ya awali.

Akizungumza jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, amebainisha kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) tayari limeunda kitengo maalumu cha kusimamia mradi huo, huku mafunzo kwa wataalamu yakipendekezwa kufanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

Ujumbe kutoka Shirika la Kimataifa la Nishati ya Nyuklia (IAEA) umepongeza hatua hizo na kusisitiza umuhimu wa kuwakutanisha wataalamu wabobevu ili kuimarisha mchakato huo utakaopelekea upatikanaji wa umeme wa uhakika.

Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga, ameongeza kuwa nyaraka za utekelezaji zimeshawasilishwa ili kupata idhini ya Serikali, lengo likiwa ni kutimiza maono ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuongeza vyanzo vya nishati nchini.

‎ : Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umemtaka mkandarasi wa kampuni ya CCC International Engineering kuongeza kasi ya uj...
03/02/2026

‎ : Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umemtaka mkandarasi wa kampuni ya CCC International Engineering kuongeza kasi ya ujenzi wa mradi wa kusambaza umeme katika vitongoji 135 mkoani Ruvuma baada ya kusuasua kwa utekelezaji wake.

Meneja wa Usimamizi wa Miradi ya REA, Mha. Deogratius Nagu, ameeleza kuwa hadi sasa mkandarasi amefikia asilimia 56 pekee badala ya asilimia 80 inayotakiwa, huku akiwasha vitongoji 43 tu kati ya vyote vilivyopangwa.

Ili kukamilisha mradi huo wa shilingi bilioni 14.56 kwa wakati, REA imemuelekeza mkandarasi kumbadilisha Meneja wa Mradi, kuongeza timu za mafundi, na kuhakikisha vifaa k**a transfoma na nyaya vinapatikana kwa haraka.

Ingawa mkandarasi amekiri kuchelewa kutokana na changamoto za upatikanaji wa vifaa, ameahidi kutekeleza maelekezo hayo ili kuwafikishia huduma wateja zaidi ya 5,400 ifikapo mwezi Juni mwaka huu.

 : Serikali imebainisha kuwa imefanikiwa kuzuia kupanda kwa gharama za matumizi ya umeme kwa wananchi kwa kipindi cha mi...
21/01/2026

: Serikali imebainisha kuwa imefanikiwa kuzuia kupanda kwa gharama za matumizi ya umeme kwa wananchi kwa kipindi cha miaka 10 tangu mwaka 2016, licha ya kuongezeka kwa bei za vifaa k**a nguzo na mita. Akizungumza Januari 21, 2026, Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameeleza kuwa kiwango cha uunganishaji umeme nchini kimefikia asilimia 52, huku kukiwa na lengo la kufikia asilimia 75 ifikapo mwaka 2030 kupitia mipango mbalimbali ya nishati iliyosainiwa hivi karibuni.

Waziri Ndejembi ameongeza kuwa zoezi la ufungaji wa mita janja linaendelea nchi nzima ili kurahisisha upatikanaji wa umeme wa token bila kutumia vifaa vya ziada, huku miradi mikubwa ya njia za kusafirisha umeme mkoani Rukwa na mikoa ya Kusini ikiendelea kutekelezwa. Aidha, ujenzi wa miundombinu hiyo inalenga kuhakikisha upatikanaji wa nishati ya uhakika na ya kuaminika kwa ajili ya kuchochea shughuli za maendeleo na huduma za kijamii kote nchini.

Kwa upande wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepongeza jitihada za TANESCO na REA katika kutekeleza miradi mikubwa k**a ule wa Julius Nyerere (JNHPP) na miradi ya nishati ya jua. Mwenyekiti wa k**ati hiyo, Mhe. Subira Mgalu, amebainisha kuwa kuimarika kwa umeme kumesaidia kukuza uchumi na kuongeza mapato ya serikali, ambapo sekta za viwanda na migodi zimechangia TRA kufikia rekodi ya makusanyo ya Sh. trilioni 4.13 kwa mwezi mmoja.

18/01/2026

Automatic voltage regulator 🩶

10/01/2026

🤙🫶

Hakuna kupoa!! Jambo letu ni moja tu... kila mteja afurahie huduma
15/12/2025

Hakuna kupoa!! Jambo letu ni moja tu... kila mteja afurahie huduma

Address

Mbagala
Dar Es Salaam
MBAGALA

Telephone

+255624440762

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Umeme online Makoti posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Umeme online Makoti:

Share

Category