Nic Umeme

Nic Umeme Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nic Umeme, Electrician, Dar es Salaam.

15/05/2026

Out dor camera

15/05/2026

Installation CCTV CAMERA
BAHARI BEACH

13/05/2026

NIC UMEME INAKULETEA HUDUMA ZOTE ZA UMEME WA MAJUMBANI,MAOFICINI NA VIWANDANI N.K..

⏩️TUNAFANYA SITE VISIT TANZANIA NZIMA🇹🇿
⏩️SIRCUIT PLAN
Tunafanya hatua ya awali kwa dwawns pamoja na uchanaji kuta kwa kutumia MACHINE hii ni kuweza kuandaa mifumo ya uwekaji wa conduit pipe

⏩️BACK UP SYSTEM.
Huu ni mfumo wa kisasa na unakuwa na option ya umeme wa TANESCO NA SOLAR PANEL AU GENERATOR.

⏩️WIRRING SYSTEM.
Tunafanya uvutaji wa waya kwakuzingatia sheria zote za umeme kwa umakini wa hali ya juu kabisa pamoja na kufanya vipimo vyote ili uweze kuruhusu umeme kwenye jengo lako.

⏩️DECORATION LIGHT.
Tunahusika na swala zima la ufungaji wa taa za kisasa pamoja na switch.

⏩️MOTER GATE INSTALLATION.
Tunafunga moter gate za kisasa outmatical inayo tumia remoti na cm janja.

⏩️FITTING PIPE AIR CONDITIONAL
Huu ni mfumo wa maandalizi mazuri ya ufungaji wa AC pasipo uharibifu wa ukuta wako

⏩️ELECTRICAL SECURITY FANCE .
Tunahusika na swal zima la kufunga short ya umeme kwenye ukuta wa fance yako kwa umakin mkubwa kabisa ili kulinda na kuimarisha ulinzi na usalam katika eneo la makazi yako.

CCTV CAMERA.

Tunahusika na ufungaji wa camera aina zote kwa mwenekano An'gavu kabisa HD

♻️JENGO LAKO NDIO OFFICE YETU 🏙
♻️USHAURI KWETU NI BURE.
KWA
MAWASILIANO CALL
0672538800.
WATS APP. 0672538800.

INSTAGRAM. FOLLOW
NIC UMEME

13/05/2026

Tupo kinyerezi tukihusika na swala zima la wirring isntallation kwa kuzingatia sheria zote za umeme kwa kazi bora safi na salama call
0672538800

12/05/2026
09/05/2026

Call
0672538800

08/05/2026

Minyoosho kinyerez..

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nic Umeme posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category