19/08/2016
Mr. O.Makwinya (CEO) of O&J Group
Salaam,
Tumekamilisha mambo muhimu ya kuweza kuona malengo ya O&J Group kuwa Active hivi karibuni. Tutatoa huduma za ndani (Indoor services and products) na huduma za nje k**a hizi (Baadhi)..
Indoor:
- Print outs kwa hadi ukubwa wa A0 (Posters (Mabango) na Ramani), Mug & Glass printing, Plates & Glass Decors printing, T-shirt & Cloth printings (Lesso n.k), General Secretarial services, Huduma ya chumba cha kisasa cha mikutano (40 seats).
- Mafuta ya kula (Cooking Oil), mafuta yasiyoongezwa kitu chochote ya kula yatokanayo na Alizeti na Karanga ambayo yatakuwa na Product mbili Mafuta ghafi(Crude) na mafuta yaliyosafishwa (Refined), mtambo huu ni wenye uwezo wa kuzalisha lita 2000 kwa siku. Tutatoa kwa ujazo wa Lita 5, 3 na moja.
- Tofali za kujengea, tutatoa tofali ukubwa tofauti tofauti,(Pave blocks, hollow etc)
- Pia kutakuwa na huduma ya usafiri wa basi kati ya Iringa na Dodoma kila siku.
Hii ni hatua ambayo CEO amekuwa akiifanyia kazi kwa muda kwani ilihitaji mambo mengi ya msingi k**a kupata eneo, ujenzi, kuagiza mitambo nje ya nchi na pia kupitia mamlaka husika kuona vigezo stahiki vya kuweza kutoa huduma zenye viwango sahihi hasa kwa uzalishaji wa mafuta ya kula.
Ilipelekea kuwa na safari za kujifunza kwenda China na India mara kadhaa kisha kupata wataalam sahihi kwa kupata mitambo hiyo ambao ni kutoka China.
Mchakato huu umeanza April 2015 na umeendana na changamoto nyingi sana ambazo pia zimesababisha hata Mr. Makwinya kuona umuhimu wa kuandika MEMOIR (Hadi ufunguzi wa huduma hizi za O&J k**a toleo la kwanza) itakayotoa picha na mambo mengi kwa wengine hasa Familia yake yeye mwenyewe.
Napenda kutoa shukurani kwa walionitia moyo, walionikatisha tamaa walihusika kunipa changamoto mbadala pia lazima niwashukuru. Naamini kuna wengi ambao wanaoanza from the scratch with only the asset they have is their Brains, Artitude, courage and behaviour k**a mtaji wao watajifunza mengi kutoka katika MEMOIR hiyo... Sooon
Nawatakieni siku njema wote na karibuni sana kuniunga mkono.
Ahsanteni sana.
Omar Makwinya,
CEO,
O&JGroup.