SkyBlue

SkyBlue Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from SkyBlue, Kahama.

We Offer Smart Energy & Security Solutions β€”
Kahama Techline is a professional service company specializing in:

CCTV Installation
Satellite Dish (AzamTV ,DStv etc)
Solar Power Systems
Domestic Electrical Wiring
Electric Fence and,
Gate Motor Installation

Tumekamilisha ufungaji wa Nemtek Wizard 2 Electric Fence Energizer kwa mteja wetu βœ…πŸ‘‰ Inalinda kwa uhakika, yenye alarm s...
20/08/2025

Tumekamilisha ufungaji wa Nemtek Wizard 2 Electric Fence Energizer kwa mteja wetu βœ…
πŸ‘‰ Inalinda kwa uhakika, yenye alarm system, na monitoring ya kisasa.

πŸ“Kahama | Tunahudumia nchi nzima πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
πŸ“ž 0757 641 295

⚠️ Usisubiri hadi tukio litokee!Weka CCTV leo na linda familia au biashara yako.Huduma bora kutoka African Giants Techno...
08/08/2025

⚠️ Usisubiri hadi tukio litokee!
Weka CCTV leo na linda familia au biashara yako.
Huduma bora kutoka African Giants Technologies Ltd.
πŸ“Kahama | πŸ“ž 0757 641 295












23/07/2025

  , ,   ,  ,
11/07/2025

, , , ,

Remote Original za Dstv zipo ofisini.  ,  ,  ,
08/07/2025

Remote Original za Dstv zipo ofisini.

, , ,

Je, unahitaji mfumo wa kisasa wa ulinzi?Kutana na timu ya Kahama Techline – tupo tayari kukufungia IP CCTV Camera za kis...
03/07/2025

Je, unahitaji mfumo wa kisasa wa ulinzi?
Kutana na timu ya Kahama Techline – tupo tayari kukufungia IP CCTV Camera za kisasa kwa ajili ya usalama wa nyumba au biashara yako!

Tupigie sasa:
0757 641 295 / 0710 841 295
Kahama Techline – Tunakuunganisha na Dunia.

Dstv Full Set ni 99,000/=AzamTv Full Set ni 99,000/=Tuambie unapenda maudhui gani(Chaneli Zipi), sisi tutakwambia kisimb...
30/06/2025

Dstv Full Set ni 99,000/=
AzamTv Full Set ni 99,000/=

Tuambie unapenda maudhui gani(Chaneli Zipi), sisi tutakwambia kisimbusi gani kinakufaaπŸ€—.

Fanya maamuzi kabla Mhindi na Mfaransa hajakasirikaπŸ€“

Tupigie,0757 641 295

, , , , ,

Soma Caption πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”Ή 1. Uchovu na UaminifuMlinzi anaweza kuchoka, kusinzia au kupuuzia kazi.Camera haina usingizi wala uc...
23/06/2025

Soma Caption πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

πŸ”Ή 1. Uchovu na Uaminifu

Mlinzi anaweza kuchoka, kusinzia au kupuuzia kazi.

Camera haina usingizi wala uchovu – inafanya kazi masaa 24.

---

πŸ”Ή 2. Uwezo wa Kurekodi Ushahidi

Mlinzi hawezi kurekodi tukio, anaweza kusahau au kuogopa kusema ukweli.

Camera hurekodi kila tukio la kweli – unaweza kurudia kuangalia tukio lolote.

---

πŸ”Ή 3. Gharama za Uendeshaji

Mlinzi analipwa kila mwezi, anahitaji chakula, sare, na malipo ya ziada.

Camera ni gharama ya mara moja tu na matengenezo kidogo.

---

πŸ”Ή 4. Ufanisi wa Usiku

Mlinzi anaweza kuona kwa macho tu, uwezo wa kuona gizani ni mdogo.

Camera za kisasa (IP/Night Vision) huona usiku k**a mchana.

---

πŸ”Ή 5. Kutumika k**a Kithibitisho Mahak**ani

Mlinzi ushahidi wake unaweza kupingwa.

Camera hutoa video halisi inayoonekana – inadumu k**a kithibitisho cha uhakika.

---

πŸ”Ή 6. Wigo wa Ulinzi

Mlinzi anaweza kulinda sehemu moja kwa wakati mmoja tu.

Camera zinaweza kufuatilia maeneo mengi kwa wakati mmoja – ndani na nje.

---

πŸ”Ή 7. Huwezi Kudanganywa Kirahisi

Mlinzi anaweza kushawishiwa na wahalifu au kuhongwa.

Camera haina hisia wala upendeleo – hurekodi kila kitu k**a kilivyo.

---

πŸ”Ή 8. Remote Monitoring

Mlinzi hawezi kufuatiliwa ukiwa mbali.

Camera unaweza kuangalia kwenye simu popote ulipo duniani (kwa IP camera).

---

πŸ”Ή 9. Usalama wa Ndani ya Nyumba/Duka

Mlinzi hawezi kuingia kila chumba au sehemu ya duka.

Camera zinaweza kuwekwa sehemu nyeti k**a ofisi, store, au bedroom ya watoto.

---
πŸ”Ή 10. Kuzuia uhalifu kabla haujatokea

Mlinzi anaweza kuingiliwa kwa urahisi bila mtu kujua.

Camera huwatisha wahalifu kwa kuona wapo live, na hukimbia kabla hawajafanya uhalifu.

Kwa Tips k**a hizi na zaidi tembelea page yetu on Instagram  .  Cyber Support,  ,  ,  ,  ,
12/06/2025

Kwa Tips k**a hizi na zaidi tembelea page yetu on Instagram .
Cyber Support, , , , ,

31/05/2025

Address

Kahama
255

Telephone

+255625841295

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SkyBlue posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SkyBlue:

Share