SALEH FUNDI UMEME

SALEH FUNDI UMEME Kazi nzuli inaonekana

01/09/2026

KARIBU TUFANYE KAZI

31/08/2026

MWANZA TUNAELKEA KUKABIZI KAZI

30/08/2026

MAFUNDI UMEME KAZINI

29/08/2026

πŸ‘·πŸ½ Saleh Abdul Ahmad
πŸ‘·πŸ½ Saleh Abdul Ahmad

Saturdayβ€” WE SHOW UP IN STYLE! πŸ”₯😎
Clean look. Strong team. Big energy. πŸ’―
SALEH UMEME TZ β€” We power it. We own it.

28/08/2026

IJUMAAA KAREEEM INSHALLAH πŸ•Œ

28/08/2026

πŸ‡ΉπŸ‡ΏSALEH UMEME TZ β€” KAZI INAENDELEA MWANZA!

Bado tunaendelea na kazi ya upitishaji wa mabomba ya mifumo ya umeme kwa mteja wetu hapa Buswelu, Mwanza. πŸ—οΈβš‘

Tunazingatia ubora, usalama na mpangilio sahihi wa mifumo ya umeme tangu hatua za awali za ujenzi hadi kukamilika kwa mradi. πŸ’―

πŸ“ Tunapatikana: Dar es Salaam
πŸš— Lakini popote ulipo Tanzania, tunakufikia kwa huduma zetu.

Unajenga nyumba, biashara au jengo la aina yoyote na unahitaji huduma bora za umeme?
SALEH UMEME TZ β€” WABOBEZI WA KAZI. βš‘πŸ”Œ

πŸ“ž Wasiliana nasi:
☎️ 0754 890 432
☎️ 0655 890 432

DarEsSalaam ElectricalInstallation UmemeTanzania WabobeziWaKazi

28/08/2026

πŸ‘·πŸΎβ€β™‚οΈSIKU YA TATU – MWANZA, BUSWELU πŸ‘·πŸΎβ€β™‚οΈ

Tunaendelea na kazi kwa kasi na umakini! πŸ”¨βš‘
Leo ni siku ya tatu tukiendelea na zoezi la uchanaji wa kuta na utingaji wa maboksi, ikiwa ni maandalizi muhimu kwa ajili ya ufungaji wa mifumo ya umeme (Electrical Installation) katika hatua zinazofuata za ujenzi.

πŸ“ Eneo: Buswelu, Mwanza

Tunazingatia ubora, usalama na mpangilio sahihi wa mifumo ya umeme tangu hatua za awali za ujenzi.

SALEH UMEME TZ – Wabobezi wa Kazi za Umeme. βš‘πŸ”§
Huduma za umeme tunapatikana Dar es Salaam, Mwanza na popote ulipo Tanzania.

πŸ“ž Wasiliana nasi kwa huduma bora na za kitaalamu.

Address

Makabe

Telephone

0675645799

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SALEH FUNDI UMEME posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category