DAMBE

DAMBE Tunapenda kutumia ujuzi wetu wa nishati jua ( Renewable Energies) kupunguza gharama kubwa za uendeshaji wa umeme, kilimo na ufugaji.

Nifuraha yetu kuona kila mtanzania anafurahia utamu wa umeme jua katika shughuli zake za kimaisha.

Eng. Wetu akiwa ameongeza ujuzi za wa solar katika training iliyoandaliwa na Agenergies wakishirikia na Victron Energy D...
28/09/2024

Eng. Wetu akiwa ameongeza ujuzi za wa solar katika training iliyoandaliwa na Agenergies wakishirikia na Victron Energy Dar es salaam. Ndugu mteja, ukiwa na mradi wako wowote wa solar upo kwenye mikono salama ukiwa pamoja nasi. 📞 0746 021 060 au tembelea office zetu zilizopo Sokoine jijini Mbeya kupata huduma bora za mitambo ya solar.

Mtambo wa solar wa umeme unaotoa volt 220, ambao mtambo huu pichani unafaa kwa matumizi ya saluni, Maduka ya uwakala, na...
12/09/2024

Mtambo wa solar wa umeme unaotoa volt 220, ambao mtambo huu pichani unafaa kwa matumizi ya saluni, Maduka ya uwakala, na matumizi mingine madogo madogo. Gharama ya mtambo huu ni Sh 3,500,000/= unakuja na vitu vifuatavyo.
👉 Hybrid inveter yenye ukubwa wa 1.5Kw
👉 Panel za watt 300 pc 3.
👉 Solar batteries 12V/150AH pc 2
👉 Lighting accessories.
Kumbuka kuwa mtambo huu hata umeme ukikatika hutaweza Kujua kwani ni automatic. 📞 0746 021 060 au tembelea ofisi zetu zilizopo sokoine mkabala na Mbeya hotel.

Mkandarasi wa solar yupo kazini Kuhakikisha mteja anapata huduma bora ya ufungaji wa mitambo ya solar tupigie Leo kwa  #...
07/09/2024

Mkandarasi wa solar yupo kazini Kuhakikisha mteja anapata huduma bora ya ufungaji wa mitambo ya solar tupigie Leo kwa # 0746 021 060 au tembelea ofisi zetu zilizopo sokoine mkabala na Mbeya hotel.

   , je umechoka kero ya umeme kukatika mara kwa mara hukushughuli zako binafsi za matumizi ya umeme zinakwama?, suluhis...
01/09/2024

, je umechoka kero ya umeme kukatika mara kwa mara hukushughuli zako binafsi za matumizi ya umeme zinakwama?, suluhisho ni moja tuu Dambe Solar Energies watakupa mtambo bora wa solar ambao utafanya shughuli zote za uendeshaji umeme kulingana na mahitaji yako., tuna system za solar ambazo hata umeme ukikatika hutagundua hilo. Gharama ya system hizi za solar ambazo ni hybrid ni k**a ifuatavyo.

500W solar system with 150Ah/12V (2pcs) solar batteries, Hybrid inverter of 24V/3Kw and solar pannel of 545W and lighting protection = 3,900,000/=

600W solar system with 200Ah/12v (2pcs) solar batteries, Hybrid inverter of 24V/3kw and solar panel of 697W and lighting protection = 4,600,000/=

1000W solar system with 150Ah/12 ( 4pcs) solar batteries, hybrid inverter of 24V/3kw and solar panels of 545W (2pcs) and lighting protection = 6,500,000/=

2500W solar system with 200Ah/12V ( 4pcs) solar batteries, Hybrid inverter 48V/5kw, solar panels of 545W(4pcs) and lighting protection = 12,000,000/=

2500W solar system with 48v/5kw lithium battery, hybrid inverter 48V/5kw, solar pannels of 545 (4pcs) and lighting protection = 14,000,000/=

All prices includes free installation and commissioning of the system and free delivery of materials within the town area.

Hit your call through the # 0746 021 060 or visit our office at Sokoine area near Mbeya Hotel from Monday to suturday ( 08:30AM to 17:00PM).

 , tupigie Leo tukuhudumie katika mahitaji yako ya nishati ya solar.
31/08/2024

, tupigie Leo tukuhudumie katika mahitaji yako ya nishati ya solar.

Dambe Solar Energies tumefanikiwa kuyabadilisha maisha ya mfugaji huyu aliyeko jijini Dodoma, alikuwa anatumia diseal en...
29/08/2024

Dambe Solar Energies tumefanikiwa kuyabadilisha maisha ya mfugaji huyu aliyeko jijini Dodoma, alikuwa anatumia diseal engine kuvuta maji kisimani kwa ajili ya kunywesha mifugo yake leo anatumia mfumo wa solar kupata maji kwa ajili ya mifugo yake. Tunajivunia kazi yetu imempa tabasamu mteja wetu. Karibu Dambe Solar Energies kwa mifumo bora ya solar. Tunapatikana Jijini Mbeya, Sokoine karibu na Mbeya hotel, au 📞 0746 021 060

Je wewe ni mkazi wa Mbeya na unahitaji Solar water heater? Tunazo solar water heater kwa matumizi ya nyumbani hadi kwa a...
29/08/2024

Je wewe ni mkazi wa Mbeya na unahitaji Solar water heater? Tunazo solar water heater kwa matumizi ya nyumbani hadi kwa ajili ya biashara. Tupigie Leo au whatsapp us # 0746 021 060

Address

2308
Mbeya
53201

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00
Saturday 08:30 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DAMBE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share