Pam Security Agency

Pam Security Agency Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pam Security Agency, Home Security Company, Mbalizi, Mbeya.

🔐 PAM SECURITY AGENCY
🛡️ Ulinzi wa Makazi | Shule | Hospitali | Taasisi
👮 Askari waliopata mafunzo & wenye nidhamu
⏰ Ulinzi wa saa 24
📍 Mbeya – Tanzania
📞 Piga simu au WhatsApp nasi 0627 748 871

21/04/2026

🚨 UNATAKA KUANZISHA KAMPUNI YA ULINZI TANZANIA?

Watu wengi wanaanza… lakini wengi wanashindwa.
Sababu?

❌ Hawajui pa kuanzia

❌ Hawana mfumo wa kupata wateja

❌ Wanashindana kwa bei badala ya ubora

Sasa nimekuandalia MWONGOZO KAMILI utakao kusaidia:

✅ Kuanzisha kampuni yako hatua kwa hatua
✅ Kujitofautisha na kampuni nyingine
✅ Kupata wateja wako wa kwanza
✅ Kujenga mfumo wa kazi unaoaminika

📘 Jinsi ya Kuanzisha na Kushinda Biashara ya Ulinzi Tanzania
💰 Bei: TZS 30,000 tu

📲 Wasiliana nami sasa kupata nakala yako
👉 WhatsApp: 0627 748 871

Usikae na wazo—anza sasa.

17/04/2026

Usafi unaouona sio usafi wa kweli.

Maeneo haya 7 yanaweza kuwa chanzo cha magonjwa bila wewe kujua.

✅Tunatoa huduma ya deep cleaning
✅Tunatumia disinfectant za kiwango cha juu
✅Tunahakikisha mazingira yako ni salama 100%

📞 Wasiliana nasi leo – 0627 748 871
PamSec Cleaning Services

17/04/2026

Mwarobaini WA vibaka mjini

13/04/2026

05/04/2026

Heri ya Pasaka kwa Wakristo wote!

Kwa niaba ya uongozi mzima wa Pam and Company Limited, ninawatakia ninyi na familia zenu Pasaka njema iliyojaa amani, upendo, na matumaini mapya.

Sikukuu hii tukufu iwe chachu ya kuimarisha imani, mshikamano, na ari ya kufanya kazi kwa bidii katika kujenga maisha bora na jamii yenye ustawi.

Tunawatakia afya njema, mafanikio, na baraka tele katika kipindi hiki cha Pasaka na siku zijazo.

Imetolewa na:
Mkurugenzi Mtendaji
Pam and Company Limited

04/04/2026

Tazama Tukio Hili lisilo la kawaida

03/04/2026

USAFI SIO GHARAMA....NI UWEKEZAJI...

02/04/2026

SIO GHARAMA...NI UWEKEZAJI

02/04/2026

....SIO GHARAMA...NI UWEKEZAJI...

27/03/2026

🎒 USALAMA WA SHULE SI BAHATI… NI MFUMO

Kila mtoto anastahili kulindwa kila sekunde akiwa shuleni.
Kwa Pam Security Agency, tunaleta ulinzi wa kitaalamu—kuanzia udhibiti wa geti hadi mifumo ya kisasa ya ufuatiliaji.

Protection and Loyalty
📞 Piga/WhatsApp: 0627 748 871
👍 Follow • ❤️ Like • 🔁 Share

kwa usalama wa kesho ya watoto wetu

26/03/2026

🧼 USAFI WA KITAALAMU UNAANZAJE?
Sio kufuta tu… ni mfumo kamili wa hatua kwa hatua kuhakikisha ubora na ufanisi.
Kutoka ukaguzi hadi umaliziaji – sisi tunafanya kila kitu kwa weledi wa hali ya juu.
PamSec Cleaning Services – Ubora na Ufanisi
📞 Piga/WhatsApp: 0627 748 871
👍 Follow • ❤️ Like • 🔁 Share

26/03/2026

MAKAZI YAKO SIO SALAMA K**A HUJAZINGATIA HAYA

Address

Mbalizi
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pam Security Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share