Gadiel Piniel #Elecrical work's

Gadiel Piniel #Elecrical work's Kazi nzuri na Bora Bei inazungumzika

Karibu Gadiel electrical contractor kwa huduma nzuri na Bora   Tunapigisha kazi zetu kwenda Tanesco kwa uharaka sanaa  M...
13/08/2025

Karibu
Gadiel electrical contractor kwa huduma nzuri na Bora
Tunapigisha kazi zetu kwenda Tanesco kwa uharaka sanaa
Michoro yote tunakuchorea
Na huduma Bora ya wiring kwenye jengo lako
0787 140406

Karibuni sanaaaa Gadiel Piniel   works  Kwa huduma za ukandarasi wa umeme hapa umefika penyeweeee  Karibu tukuhudumie078...
28/07/2023

Karibuni sanaaaa Gadiel Piniel works
Kwa huduma za ukandarasi wa umeme hapa umefika penyeweeee
Karibu tukuhudumie
0787-140406
0653-763127 Whatsapp

Ni haraka sanaaaaa
19/07/2023

Ni haraka sanaaaaa

MchakamchakaUnapata umeme mapemaaaa
18/07/2023

Mchakamchaka
Unapata umeme mapemaaaa

Tupo faster sana kuhakikisha mteja wetu hakwami na anapata umeme haraka sanaaa hili jambo limefanyika kwa siku Moja tuuA...
17/07/2023

Tupo faster sana kuhakikisha mteja wetu hakwami na anapata umeme haraka sanaaa hili jambo limefanyika kwa siku Moja tuu
Asante sana kutuchagua

Gadiel electrical contractor  Mkandarasi wa umeme mahiriTunafanya kazi za umeme Tanzania Karibu sana kwa huduma Bora zen...
07/06/2023

Gadiel electrical contractor
Mkandarasi wa umeme mahiri
Tunafanya kazi za umeme Tanzania
Karibu sana kwa huduma Bora zenye uhakika na salama
0787-140406

NIKONEKT ndo habari ya mjini Unapata huduma ya kuunganishiwa umeme ukiwa nyumbani kwako bila kufika ofisi zetu za Tanesc...
05/08/2022

NIKONEKT ndo habari ya mjini
Unapata huduma ya kuunganishiwa umeme ukiwa nyumbani kwako bila kufika ofisi zetu za Tanesco karibu tukuhudumie

Hello karibuni wateja wetu wenye maombi mapya ya umeme na wengne pia tukuunganishe Moja Moja na ofisi zetu za Tanesco nc...
06/07/2022

Hello karibuni wateja wetu wenye maombi mapya ya umeme na wengne pia tukuunganishe Moja Moja na ofisi zetu za Tanesco nchi nzima bila kufika ofisini ni kwa kutumia NIKONEKT pekeee karibu kwa Mkandarasi Gadiel Piniel Elifuraha huduma hii utaipata kwa haraka sanaaa

Huyu ni miongoni mwa wateja wetu waliotumia mfumo mpya wa kimtandao wa NIKONEKT na soon wataunganishiwa umeme karibuni sanaaa

Soon umeme utawaka
03/04/2022

Soon umeme utawaka

31/03/2022

Hii ndo sababu tumesajiliwa na serikali kufanya kazi za umeme kisheria kauli thabiti ya Tanesco

Sebule ya mteja wangu imeshanogaaa karibu naww popote tutakufikia hapo taa za change colour zimehusika na feni apo inape...
21/03/2022

Sebule ya mteja wangu imeshanogaaa karibu naww popote tutakufikia hapo taa za change colour zimehusika na feni apo inapepea upepo mujarabuuu

Address

Morogoro
NONE

Telephone

+255787140406

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gadiel Piniel #Elecrical work's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Gadiel Piniel #Elecrical work's:

Share

Category