07/01/2017
Ramani ya nyumba vyumba vitatu kimoja mster, public toilet, store, dining,sitting room na jiko.
Pia tunaandaa ramani kulingana na mahitaji ya wateja wetu,ushauri na hata makadirio ya gharama yote ya nyumba yako kulingana na RAMANI tuliyokuaandalia. Tupigie namba ya simu 0652 372149 au 0715276634 au barua pepe [email protected] kupata huduma zetu
SOUTHERN PRIDE ARCHITECTS Co.Ltd