Mbao Sokoni

Mbao Sokoni This account supports smallholder tree growers and their enterprises in providing growth services and market linkages

Forest practices.
31/05/2024

Forest practices.

Huyo ni mmoja wa wakulima wa miti kutoka Njombe, tumemuunganisha na wafanyabiashara kutoka Tegeta Dar es Salaam. Karibun...
31/05/2024

Huyo ni mmoja wa wakulima wa miti kutoka Njombe, tumemuunganisha na wafanyabiashara kutoka Tegeta Dar es Salaam.

Karibuni wanunuzi wa mbao kutoka masoko makubwa ya mbao tukuunganishe na wakulima wetu wenye mazao ya misitu k**a n.k..

Karibuni sana

Recap:Mfumo wa  utoaji taarifa za masoko ya mbao kwa kutumia ubao wa  uliopo kwenye ofisi ya kijiji, unatoa taarifa za u...
28/03/2024

Recap:
Mfumo wa utoaji taarifa za masoko ya mbao kwa kutumia ubao wa uliopo kwenye ofisi ya kijiji, unatoa taarifa za uendeshaji wa bei za mbao za ukubwa tofauti katika masoko mbalimbali makubwa ya mbao nchini Tanzania ili wakulima wa miti waliopo katika vikundi waweze kupata taarifa na kufanya maamuzi wakati wa kupanga bei kwa wanunuzi wao.

Piloting forestry market information system , uses simple price boards placed as the office of a village, it provides updates on running prices for different timber sizes in various major timber markets in the country so as tree growers who are organized in groups can make informed decisions when setting prices for their buyers.

Bei inayotembea leo Songea2*2=20001*4= 20002*3=30002*4=40002*6=60001*6=45001*8=65001*10=13000
20/03/2024

Bei inayotembea leo Songea

2*2=2000
1*4= 2000
2*3=3000
2*4=4000
2*6=6000
1*6=4500
1*8=6500
1*10=13000

Bei inayotembea leo Makambako 2x2-15002x4-35002x6-45002x3-23001x4-14001x6-33001x8-50001x10-12500
19/02/2024

Bei inayotembea leo Makambako
2x2-1500
2x4-3500
2x6-4500
2x3-2300
1x4-1400
1x6-3300
1x8-5000
1x10-12500

Bei inayotembea leo Mtwara 2x4 -62002x3 -48001x10 -180001x8 -130001x6 -75001×4 -25002x6 -90002x2- 3000
31/01/2024

Bei inayotembea leo Mtwara
2x4 -6200
2x3 -4800
1x10 -18000
1x8 -13000
1x6 -7500
1×4 -2500
2x6 -9000
2x2- 3000

Mkulima wa miti kijiji cha Ihanga-Njombe TC, akipakia mbao kwa ajili ya kusafirisha kwenda Dar es Salaam baada ya mradi ...
24/01/2024

Mkulima wa miti kijiji cha Ihanga-Njombe TC, akipakia mbao kwa ajili ya kusafirisha kwenda Dar es Salaam baada ya mradi wa Panda miti kibiashara kumuunganisha na soko zuri.
——————————————
A small tree grower innIhanga Village, Njombe TC, transporting timber to Dar es Salaam for commercial purposes after being connected by PFP to the profitable timber market

Bei za mbao apa faya- Morogoro2x4=44002x3=34002x2=23002x6=68001x6=42001x8=70001x4=23001x10=14500
17/01/2024

Bei za mbao apa faya- Morogoro
2x4=4400
2x3=3400
2x2=2300
2x6=6800
1x6=4200
1x8=7000
1x4=2300
1x10=14500

Bei inayotembea leo Morogoro 2x2= 22001x4=22002x3=31002x4=43002x6=65001x6=40001x8=65001x10=14500
02/06/2023

Bei inayotembea leo Morogoro

2x2= 2200
1x4=2200
2x3=3100
2x4=4300
2x6=6500
1x6=4000
1x8=6500
1x10=14500

Bei inayotembea leo Songea2*2=20001*4=18002*3=30002*4=38002*6=60001*6=45001*8=65001*10=13000
02/06/2023

Bei inayotembea leo Songea

2*2=2000
1*4=1800
2*3=3000
2*4=3800
2*6=6000
1*6=4500
1*8=6500
1*10=13000

Bei zinazotembea leo Dar es Salaam.2x2 Pcs 28001x4 Pcs 29002x3 Pcs 55002x4 Pcs 57002x6 Pcs 120001x6 Pcs 56001x8 Pcs 1250...
02/06/2023

Bei zinazotembea leo Dar es Salaam.

2x2 Pcs 2800
1x4 Pcs 2900
2x3 Pcs 5500
2x4 Pcs 5700
2x6 Pcs 12000
1x6 Pcs 5600
1x8 Pcs 12500
1x10 Pcs 17500

50 villages supported with a market information signboard (Mbao Sokoni)  to help them access and familiarise themselves ...
02/05/2023

50 villages supported with a market information signboard (Mbao Sokoni) to help them access and familiarise themselves with various markets' timber prices for decision making

Address

Njombe-Songea Road
Njombe

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbao Sokoni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mbao Sokoni:

Share