mabati_boratz

mabati_boratz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from mabati_boratz, Roofing service, ivandale rd, Hamilton, VA.

HELLO JULY 🎉❇️WEKA ODA YAKO SASA✅TUNAUZA NA KUSAFIRISHA MIKOA YOTE BURE.✅Kwa WATEJA wetu wa mikoan Kumbuka Huduma zetu U...
07/01/2023

HELLO JULY 🎉

❇️WEKA ODA YAKO SASA
✅TUNAUZA NA KUSAFIRISHA MIKOA YOTE BURE.

✅Kwa WATEJA wetu wa mikoan Kumbuka Huduma zetu Unawez kukufikia popote pale Tanzania, Hivyo usisite kutupigia na Tutakupa Utaratibu wetu wa kuweza kupata Huduma zetu kwa Ubora na Uharaka zaid bila shida yeyote.

KINDLY FOLLOW OUR PAGE,



MABATI BORA TANZANIA 🇹🇿
CALL/WHATSUP 0653884260/ 0622937670

✅EID MUBARAK JAMIIYAH 🌙⚡️❇️ GIVE US YOUR ORDER NOW.✅WE SELL AND EXPORT FREE ALL REGIONS.KINDLY FOLLOW OUR PAGE,CALL/WHAT...
06/29/2023

✅EID MUBARAK JAMIIYAH 🌙⚡️

❇️ GIVE US YOUR ORDER NOW.✅
WE SELL AND EXPORT FREE ALL REGIONS.
KINDLY FOLLOW OUR PAGE,



CALL/WHATSUP 0653884260/ 0622937670

❇️SPECIAL ORDERIT5 COVERMAXBLUE COLOR 🔥MATERIAL YA KAWAIDA TAYARI IMESHAKATWA NA KUPAKIWA K**A JINSI UNAVYOONA TAYARI KA...
06/28/2023

❇️SPECIAL ORDER
IT5 COVERMAX
BLUE COLOR 🔥
MATERIAL YA KAWAIDA

TAYARI IMESHAKATWA NA KUPAKIWA K**A JINSI UNAVYOONA TAYARI KABISA KUMPELEKEA MTEJA WETU MPAKA SITE KWAKE KWA KUENDLEA NA UJENZI

✅KARIBU TENA Boss wetu Mr. WERNER Kutoka SALA SALA Dar es Salaam

✅NDUGU WATEJA WETU KIUKWELI BATI ZA KUKATA KWA VIPIMO MAALUM HUWA ZINAKUACHIA MUONEKANO MZURI WA PAA LAKO, SABABU HUONDOA ILE HADHA YA KUZIUNGANISHA BATI WAKATI WA KUEZEKA NA HUFANYA MIGONGO YA BATI KUNYOOKA NA NDYO SABABU YA KULETA MVUTO,

✅PIA HUPUNGUZA IDADI YA GHARAMA ZA KILOGRAM ZA MISUMARI NA ZINAONDOA ILE HALI YA KUKATA KATA BATI VIPANDE VIPANDE..

KINDLY FOLLOW OUR PAGE,



MABATI BORA TANZANIA 🇹🇿
CALL/WHATSUP 0653884260/ 0622937670

JE, UNAZIFAHAMU RANGI ZOTE ZA BATI? ✅Ndgu WATEJA wetu kuna rangi tofauti tofauti za mabati… Napenda kuwafahamisha kuwa k...
06/26/2023

JE, UNAZIFAHAMU RANGI ZOTE ZA BATI?

✅Ndgu WATEJA wetu kuna rangi tofauti tofauti za mabati… Napenda kuwafahamisha kuwa katika swala la Rangi kila kiwanda kuna rangi zake pendwa ambazo zinaaminikia kupitiliza.

Na kuna vitu vya kuzingatia kabla katika changuzi za rangi, Ukiwa k**a Mteja wetu pia tutakushauri ufikapo kiwandani kwetu kabla ujafanya maamuz sahihi ya ununuzi wa Bati zetu..’

✍️ SIKU ZOTE CHANGUZI LA RANGI LINATEGEMEA VITU VIFUATAVYO;

✅ Rangi ya Nyumba;- Si vema Rangi unayotegemea kupaka ikawa sawa na Rangi ya Bati unayo Ezeka maana huleta muonekano ambao si wa kisasa Nyumba nzima kuwa na muonekano wa rangi moja.

✅Mazingira ya Hali ya Hewa;- Ni ukweli kwamba katika swala la mazingira nikimaanisha kuwa si vema jiran yako kaezeka Rangi ya Blue nawewe ukatumia hiyo hiyo, itakuwa haina tofauti na Nyumba za kota. Kwa Mazingira yenye hali ya kijangwa yani Jua kali sana ni vema ukatumia zile rangi zilizopoa kidogo mfano, CHARCOAL GREY, DARK COFFEE na SHINE COFFEE COLOR ila pia vema kutumia RED, BLUE, GREEN, CARROT, etc

Na kwa mazngira ya hali ya hewa ya Kawaida si mbaya pia ukatumia Rangi yeyote kati ya hizo itakuwa haina shida tu..

Ni ushaur tu Ila kwa kirefu zaid Unawez tupigia simu au ukafika kiwandani kwetu tukakupa Elimu ya vitu vingi sana kuhusiana na uezekaji wa paa la Nyumba yako…

Karibun sana 🤝
Call/ Whatsap
☎️0653 884260/ 0622 937670



MABATI BORA TANZANIA 🇹🇿

Address

Ivandale Rd
Hamilton, VA
20158

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mabati_boratz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share