MAGU Electrical Services

Call Directions Website Contact the business

MAGU  Electrical  Services Electrical Services

Wataalamu wa Umeme Huduma Tuzitoazo:

🏠 Huduma za Umeme Majumbani
🏭 Huduma za Umeme Viwandani
💡 Uuzaji wa Vifaa Bora vya Umeme
📝 Ufungaji wa Fomu za Maombi ya Huduma za Umeme Tanesco

22/10/2026

⚡⛽ DIESEL FUEL SYSTEM INSTALLATION | PROFESSIONAL ELECTRICAL WORK 🔧

Installation ya mfumo wa mafuta ya diesel, ikihusisha Fuel Dispenser Pump kwa ajili ya kujazia mafuta kwenye magari, pamoja na Diesel Offloading Pump Motor kwa ajili ya kupakua mafuta kutoka kwenye gari la kubeba mafuta na kuyaingiza kwenye Diesel Storage Tank.

Kazi moja, mifumo miwili muhimu — kutoka kwenye offloading ya mafuta hadi kujazia mafuta kwenye magari. ⚙️💪

Tunafanya installation kwa kuzingatia utaalamu, usalama na ufanisi wa mfumo.

MAGU ELECTRICAL SERVICES ⚡
Professional Electrical Installation & Maintenance.

16/10/2026

⚡🏗️ MAGU ELECTRICAL SERVICES – PROFESSIONAL ELECTRICAL PLANNING & INSTALLATION 🔌💡

Leo tupo kwenye site ya kampuni ya Kichina inayojenga kambi kubwa ya wafanyakazi, yenye nyumba za makontena (Container Houses), vyumba vya kuishi na ofisi.

Tunaendelea na ELECTRICAL WIRING PLANNING kwa ajili ya kupanga mfumo wa umeme katika vyumba na ofisi zao, kuhakikisha kila kitu kinapangwa kitaalamu kabla ya kuanza kazi ya wiring. ⚡🛠️

✅ Electrical Installation Planning
✅ Wiring ya vyumba na ofisi
✅ Mpangilio wa taa, sockets na switches
✅ Usalama na ubora wa mfumo wa umeme

MAGU ELECTRICAL SERVICES — Tunapanga kitaalamu, tunafanya kwa viwango, na tunajenga mifumo ya umeme inayoaminika. 💯⚡

📍 Dumila Njia Panda, Morogoro
📞 0747381137 / 0652112988

14/10/2026

PART 2

⚡🔧 FROM FAULT DIAGNOSIS TO SUCCESSFUL MACHINE OPERATION!

After troubleshooting and correcting the motor terminal connections in the Star-Delta Starter system, the machine is now operating normally. ✅

This drilling machine is used to drill holes for bridge foundation construction in road infrastructure projects. The successful operation demonstrates the importance of proper motor terminal identification, accurate wiring, and professional electrical troubleshooting.

💪 Problem identified. Fault corrected. Machine back in operation!

MAGU ELECTRICAL SERVICES ⚡
Professional Industrial Electrical Installation, Motor Control & Troubleshooting.

14/10/2026

PART 1
⚡🔧 STAR-DELTA STARTER FAULT DIAGNOSIS & REPAIR

Motor ilikuwa inawaka vizuri kwenye STAR (Y), lakini ilipohamia kwenye DELTA (Δ), mfumo ulikuwa unatrip na kuzima kabisa.

Baada ya kufanya ukaguzi wa kitaalamu, niligundua kuwa tatizo lilikuwa kwenye uunganishaji usio sahihi wa waya kwenye terminal sita za motor (6 motor terminals). Hitilafu hiyo ilisababisha motor kushindwa kufanya kazi vizuri wakati wa kuingia DELTA.

✅ Nilipima na kufuatilia continuity ya winding kwa kutumia multimeter, nikabaini mpangilio sahihi wa terminal, kisha nikarekebisha connections kwa kufuata mpangilio unaotakiwa.

Matokeo: Motor ilianza kufanya kazi vizuri katika STAR na DELTA. 💪⚡

📌 FUNZO: Motor inaposhindwa kuingia DELTA, usikimbilie kubadilisha contactor, timer au control box. Kwanza, fanya uchunguzi sahihi wa motor windings, terminal identification na wiring connections.

MAGU ELECTRICAL SERVICES — Professional Electrical Troubleshooting, Motor Control & Industrial Electrical Maintenance.

06/10/2026
06/10/2026

⚡🔧 132kW MOTOR DRYING & RESTORATION 🔧⚡

Baada ya motor kuingia maji na kuathiri winding, kazi ya kurejesha hali yake imeanza kwa umakini mkubwa. 💪

Tunaendelea na professional drying, cleaning & insulation recovery kuhakikisha motor inarudi katika hali salama na tayari kwa kazi.

🔥 Kila hatua inafanyika kwa uangalifu — safety, precision & quality first.

Electrical Maintenance is not just a job — it’s a responsibility. ⚡

🔧  ? 🔧​Tuna habari njema! Duka letu limejaa vifaa vya hali ya juu vya umeme vinavyohakikisha usalama na uimara. Hapa uta...
30/09/2026

🔧 ? 🔧
​Tuna habari njema! Duka letu limejaa vifaa vya hali ya juu vya umeme vinavyohakikisha usalama na uimara. Hapa utapata:
* 🔌 Nyaya za ubora kwa matumizi yote.
* 💡 Taa za kisasa na zinazookoa nishati.
* ⚙️ Swichi na plagi salama na zenye mtindo.
​Picha hii ni mwanzo tu! Tembelea duka letu ili kuona chaguzi mbalimbali na kupata ushauri wa kitaalamu. Pata bidhaa zenye dhamana kwa bei nafuu.

MAGU Electrical Services
— Tunakuhudumia kwa uaminifu mkubwa! ⚡🔧
📍 Dumila Njia Panda, Morogoro
📞 0747 381 137 | 0652 112 988

13/09/2026

⚡ UPIMAJI WA MFUMO WA EARTHING

“Mfumo mzuri wa earthing ni muhimu kwa usalama wa watu, ulinzi wa vifaa vya umeme, na kuhakikisha mkondo wa hitilafu unapita kwa usalama kwenda ardhini.”
Katika picha hii, tunaona upimaji wa earth resistance kwa kutumia kifaa maalumu cha kupima ubora na ufanisi wa mfumo wa earthing.
Upimaji huu husaidia kuthibitisha kuwa:
✅ Mfumo wa earthing umefungwa kwa usahihi
✅ Earth electrode imewekwa vizuri
✅ Miunganisho ya earth iko katika hali nzuri
✅ Mfumo una njia salama ya kupeleka fault current ardhini
✅ Ulinzi dhidi ya mshtuko wa umeme na uharibifu wa vifaa unafaa
Kumbuka: Ufungaji wa umeme haujakamilika bila mfumo sahihi wa earthing na upimaji wake. ⚡🌍
MAGU Electrical Services — Ufungaji, Matengenezo na Upimaji wa Mifumo ya Umeme.

Address

Dumila Town
Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MAGU Electrical Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MAGU Electrical Services:

Share